Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 1: Kukutana > Jambo (song - supplementary):

Jambo, Jambo sana!

Habari gani? Nzuri sana.

Wanafunzi, wakaribishwa.

Darasani kwetu, hakuna matata.

Walimu wetu, Hakuna matata.

Na wanafunzi wetu , Hakunamatata.

Shuleni kwetu, Hakuna matata.


Hit play button to play song.